
Ni shabiki ambae hakuwa ameandaliwa lakini anamkubali Diamond na
bahati nzuri siku hiyo alikua amevaa t shirt yenye jina la Diamond… leo
sijui show ya Ney wa Mitego itakuaje hapa 88.1 Mwanza CCM Kirumba.
Kama anavyoonekana kwenye picha fan huyu wa Diamond
www.thefameshow.blogspot.com

www.thefameshow.blogspot.com
No comments:
Post a Comment