Baada
ya Black Rhyno kutangaza kupata mtoto wa kike jana, huyu tena ni
mwanafamilia mwingine wa muziki wa Tanzania aliyetangaza kupata mtoto wa
kiume.Mwanafamilia huyu sio mwingine bali ni Babu Tale ambaye ni meneja wa kundi la Tiptop Connection. Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika “My new kaka. Asante mungu”. Pongezi nyingi kwake na familia yake.
www.thefameshow.blogspot.comPicha kwa hisani ya Babu Tale
No comments:
Post a Comment