Monday 30 September 2013

DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOWAPA RAHA MASHABIKI WAKE JIJIN MWANZA NDANI YA GOLD CREST HOTEL


ANGALIA PICHA ZAIDI uharibifu wa mvua dar

DSC 0021 f742f

MISS UTALII KUTANGAZA KUPATIKANA NYATI WA AJABU NGORONGORO

  • NYATI-MWEUPE-NGORONGORO1 700ec
Nyati mweupe nayepatikana Ngorongoro (HM)

BETTY BONIFACE : MISS UNIVERSE TANZANIA 2013

Washiriki walikuwa kumi na tano kutoka mikoa tofauti tofauti hapa Tzee, mchujo ulianza kwa round ya kwanza wakipita warembo kumi na round ya pili wakapita warembo wa tano ndipo akapatika mshindi namba moja wa Miss universe Betty Boniface, na mshindi wa pili Miss Earth Clara Noor na mshindi tatu wa anaitwa Aziza Victoria.

Hawa ndio washiriki wa shindano la miss universe 2013 Tanzania

Saturday 28 September 2013

Show ya Ney wa Mitego iliyopata shangwe mwanzo mwisho baada ya kuimba ‘muziki gani’ na huyu shabiki


Ney wa Mitego na shabiki ShinyangaIlikua show yenye shangwe kuanzia mwanzo mpaka mwisho pale Ney wa Mitego alipomuita shabiki jukwaani ili aimbe sehemu ya Diamond kwenye single ya ‘Muziki gani’  on stage kwenye Serengeti Fiesta 2013 Shinyanga.

Picha za jinsi semina ya fursa ilivyofanyika ndani ya Mwanza

IMG_7528Hizi ni picha za jinsi semina ya fursa ilivyoenda leo 28/9 mchana. Kulikuwa na wazungumzaji mbalimbali kama Lulu,Mr Sebastian Maganga,Mr Ruge Mutahaba, Nikki wa Pili na wengine wengi.

VIJANA 14 Nyota wa kikapu wajiandaa kwenda USA


photo_a910d.png
          Makamu wa Rais wa Shirikisho la mpira wa kikapu nchini-TBF Ndg. Phares Magesa akiwa na
          baadhi ya wachezaji nyota (vijana)

Nahii ni tindikali?

025 419ce
Vijana hawa wapo katika majukumu yao yakazi za kila siku,hii pia ni Tindikali; lakini je?

Friday 27 September 2013

OPRAH WINFREY HANA MPANGO YA KUOLEWA


OPRAH WINFREY HANA MIPANGO YA KUOLEWA
Yule mwanamke mwenye hela nyingi ametoa kali baada ya kusema kwamba hana mipango ya kuolewa mpaka kufa kwake.

BLACKBERRY YATANGAZA HASARA YA $1 BILLION, WAFANYAKAZI 4500 KUTIMULIWA

BLACKBERRY YATANGAZA HASARA YA $1 BILLION, WAFANYAKAZI 4500 KUTIMULIWA
Kampuni ya simu za mkononi blackberry wamepata hasara ya dollar za kimarekani one billion in its next quarterly earnings report. Siku ya ijumaa blackberry ilitangaza kufukuza wafanyakazi 4500 ili kukwepa hasara zaidi kwenye kampuni hiyo.

Miezi 6 jela kwa wimbo wa matusi Tunisia;

130926180711_tunisian_rapper_ahmed_ben_ahmed_aka_klay_bbj_512x288_afp_f95b3.jpg
Msanii wa kizazi kipya nchini Tunisia, Ahmed Ben Ahmed, anayejulikana kwa jina la kiusanii, Klay BBJ, amehukumiwa jela kwa miezi sita kwa kuwatusi maafisa wakuu kupitia kwa muziki wake.

End of the Year BBQ Party in Reading!

www.thefameshow.blogspot.com


CHADEMA UK inawakaribisha waTanzania na wapenzi wote wa CHADEMA kwenye barbeque (End of the Year BBQ) party

Thursday 26 September 2013

EXCLUSIVE: B-Day girl Beyonce and Jay Z reveal beach bodies as they splash out for her 32nd birthday on champagne cruise

She is one of the coolest performers in the world, so it understandable that Beyonce Knowles would celebrate her birthday in a decadent style.

The Grown Woman singer turned 32 on Wednesday, and was surrounded by her loved ones - including husband Jay Z and daughter Blue Ivy aboard a luxury yacht in Stromboli, Italy, which appeared to turn into an impromptu champagne cruise.
As well as spending time with her loved ones, including her adorable daughter Blue Ivy, Beyonce and Jay enjoyed posing with a Nebuchadnezzar size gold bottle of Armand de Brignac champagne.

Taking the plunge: Beyonce giggles to herself as she and husband Jay Z prepare to dive in off their luxury yacht... as she celebrates her 32nd birthday in style
Taking the plunge: Beyonce giggles to herself as she and husband Jay Z prepare to dive in off their luxury yacht...

Huyu ndiye Beyonce check her out


MPAMBANO WA MASUMBWI KUWAKUTANI​SHA CHEKA VS SHAURI OKTOBER 27


Mabondia Ramadhani Shauri na Cosmas Cheka wakitunishiana misuri wakarti wa utambulisho wa mpambano wao wa ubingwa wa UBO Dar es salaam

Peter Msechu awafuta machozi watu wa Kenya kwa kutoa wimbo maalum wa maombolezo ya tukio la Westgate

555775_250776075058593_1774279092_nwww.thefameshow.blogspot.comBaada ya mashambulio ya kigaidi kwenye mall ya Westgate huko Nairobi, Peter Msechu amekuwa msanii wa kwanza kutoka Tanzania kutoa wimbo maalum kwa ajili ya tukio hilo

Baada ya Black Rhyno, mwanafamilia mwingine wa bongoflava apata mtoto wa kike

talejuniorBaada ya Black Rhyno kutangaza kupata mtoto wa kike jana, huyu tena ni mwanafamilia mwingine wa muziki wa Tanzania aliyetangaza kupata mtoto wa kiume.

Magazeti ya leo alhamis


DSC 0055 3bc8f

Wednesday 25 September 2013

Lulu mpya azaliwa

lulu1 cb52f
IMENICHUKUA saa kadhaa kuzungumza na mwigizaji nyota katika tasnia ya filamu za Bongo, Elizabeth Michael 'Lulu', hakika yeye ni Lulu kama lilivyo jina lake. (HM)

All Hail For The King "He's Back" - Huu ndio ujio Mpya wa CPwaaaaa

CherekoCherekoArtwork_1_7a659.jpgCross-Borders_Therapy_Artwork_bd180.jpg
Mashabiki wake hupendelea kumuita "King of BongoCrunk"....jina halisi ni Ilunga Khalifa a.k.a CPwaa! Msanii wa muziki wa kizazi kipya Tanzania ambaye baada ya ukimya mrefu sasa kuachia kazi zake mpya.(P.T)

tamasha la sanaa bagamoyo

IMG 0652 f8ece
Wanachuo wa chuo cha sanaa bagamoyo wakicheza ngoma kwenye tamasha la sanaa la kimataifa linalofanyika katika viwanja vya chuo cha sanaa bagamoyo wakionyesha umahili wao wa kuisakata ngoma .mbele ya mgeni rasimi  katika ukumbi wa chuo bagamoyo mkoani pwani

Monday 23 September 2013

BABA MZAZI WA WEMA SEPETU AENDELEA KUSALIA HOSPTALI WAZIRI NCHIMBI AENDA KUMJULIA HALI


Stori:   Imelda Mtema
MasIkini! Baba mzazi wa Miss Tanzania mwaka 2006 ambaye pia ni staa mkubwa wa filamu, Wema Sepetu, mzee Isaac Abraham Sepetu yupo kitandani akiwa amepooza upande mmoja wa mwili wake.
Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Emmanuel Nchimbi, mwishoni mwa wiki iliyopita aliiwakilisha serikali kwenda kumjulia hali mzee huyo ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo visiwani Zanzibar na balozi katika nchi mbalimbali ambaye yupo nyumbani kwake Sinza-Mori, Dar.
Katika hali ya kusikitisha, mama mzazi wa Wema, Mariam Sepetu, aliliambia gazeti hili ambalo lilikuwa limeongozana na Nchimbi kuwa, mume wake alipatwa na ugonjwa huo akiwa kazini Zanzibar, ingawa kwa muda mrefu amekuwa akisumbuliwa na kisukari.
Alisema baada ya kupata taarifa za ugonjwa huo, familia ilipanda ndege kutoka Dar kuelekea Zanzibar ambako walimchukua na kumpeleka Hospitali ya TMJ ya jijini Dar, alikolazwa kwa muda wa wiki tatu kabla ya kuruhusiwa.
“Ingawa bado amepooza, lakini kwa sasa hali yake ni afadhali kuliko alivyokuwa mara ya kwanza,” alisema mama huyo aliyedai kuwa mumewe ni mgonjwa kwa mwezi mmoja sasa na kwa kipindi chote hicho, amekuwa akifanyiwa kila kitu.

Sunday 22 September 2013

Ommy Dimpoz yupogo ndani ya VOA (Voice Of America)

Ommy Dimpoz ambae  yuko Marekani kwa ajili ya shows kadhaa ndani ya wiki 3 zilizompeleka huko, amepata nafasi ya kuhojiwa na kituo cha VOA, na kuzungumza mengi juu ya muziki wake.

Dimpoz akihojiwa na mtangazaji wa kituo hicho "Sunday Shomari" ambapo alizungumzia kuhusu matatizo ya wasanii kutumia madawa ya kulevya nchini, historia yake katika kazi yake ya muziki, tour iliyompeleka huko, malengo yake ya baadae na mengine mengi.

HUYU HAPA , REDD'S MISS TANZANIA 2013 PHOTOGENIC HAPPINESS


MISS Tanzania 2013, Happiness Watimanywa akipunga mkono mara baada ya kuvikwa taji la Redd’s Miss Tanzania 2013 usiku wa Septemba 21, Ndani ya Ukumbi wa Mlimani City na kuwashinda warembo wenzake 29.


Na Father Kidevu Blog
HATIMAYE kitendawili cha nani atanyakua taji la Redd’s Miss Tanzania 2013 kimeteguliwa usiku huu na mrembo Happiness Watimanywa kutoka Mkoa wa Dodoma na Kanda ya Kati kufanikiwa kutawazwa Mshindi wa taji hilo na kuwashinda warembo wengine 29 waiokuwa wakiwania taji hilo.
Nyota ya Happiness ilionekana dhahiri kung’aa vyema katika fainali hizo mwaka huu tangu pale alipofanikiwa kutwaa taji la Miss Tanzania Photogenic 2013 na kuwa mrembo wa kwanza kuingia nusu fainali.