Tuesday 8 October 2013

LINAH AKANUSHA HABARI ZA KUVALISHWA PETE YA UCHUMBA

Msanii kutoka Nyumba ya Vipaji Tanzania THT, Estelina Sanga akijulikana sana kama Linah au ‘Ndege Mnana’ baada ya mahusiano yake kuvunjika na Mkali wa Bongo Flava Amini Mwinyimkuu na kila mtu akifanya yake.

Wednesday 2 October 2013

Ulimiss kuisoma barua aliyoandikiwa Shilole na mwanae?, basi isome hapa




“I miss you so much mom and I love so much you mother. Since I go to school I was worried about

VODACOM KUUNGA MKONO JITIHADA ZA WAUGUZI KUFIKIA MALENGO YA MILLENIA

Meneja Uendelezaji Biashara wa Vodacom Tanzania Bw. Moses Krom akiwaonesha tisheti Wajumbe wa Chama cha Wauguzi Tanzania (Hawapo pichani) zilizotolewa na kampuni hiyo katika mkutano Mkuu wa 41 wa Chama hicho uliofanyika mkoani Tabora,

Tuesday 1 October 2013

RUFANI KAMATI YA MAADILI MWISHO OKTOBA 2




Wakati walalamikiwa waliofikishwa kwenye Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) wakiwa wameshapokea uamuzi dhidi yao kwa maandishi, mwisho wa kukata rufani Kamati ya Rufani ya Maadili ni kesho (Oktoba 2 mwaka huu).

IRENE UWOYA : NIMEAMUA KUACHA MAMBO YA MOVIE NA KUWAACHIA WENGINE

IRENE UWOYA : NIMEAMUA KUACHA MAMBO YA MOVIE NA KUWAACHIA WENGINE Msanii maarufu wa bongo movie Irene Uwoya ameaacha rasmi kuigiza bongo movie na kuamua kundelea na shughuli zake nyingine kama TV SHOWS.

MAGAZETI YA LEO JUMANNE

  • DSC 0051 4272d