Wednesday 27 November 2013

Lil Kim aanika maungo muhimu ya mwanamke hadharani!

Akiwa anaikaribia kabisa miaka 40 staa wa muziki kitambo Lil Kim (39) ambae jina lake halisi ni Kimberly Denis Jones ameanika maungo muhimu mwilini hadharani alipokuwa akipafomu na bendi yake huko jijini London

B'Hits yajibu madai ya Mabeste kudhalilishwa na kuondoka kwa wasanii.

Siku moja baada ya Mabeste kusikika kupitia chombo kimoja cha habari akidai kudhalilishwa na maelezo yaliyotolewa

Wednesday 20 November 2013

Hawa ndio wasanii waliolipwa pesa nyingi duniani kwa kipindi cha 2012-2013

1348009969_madonna-gaga-467
List mpya kutoka Forbes inahusisha wasanii waliolipwa pesa nyingi duniani kwa kipindi cha June 2012 hadi June 2013 ambapo pesa hizo zinatokana na mauzo ya album,show(tour) na vitu vingine

Thursday 14 November 2013

Platnum,, Hivi ndivyo yeye hufanya check it out

www.thefameshow.blogspot.com
Diamond akiwa na mama yake 


Phiri, Matola kuinoa Simba

  • Kocha wa Zamani Simba 1098cUongozi wa Klabu ya Simba umeanza mazungumzo na aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mzambia Patrick Phiri, ili kuchukua mikoba ya Abdallah Kibaden 'King', imeelezwa jana jijini Dar es Salaam.

Nay wa Mitego kuachia wimbo mpya 'Nakula Ujana' tarehe 20

 Nay wa Mitego akiwa studio        




               
Hitmaker wa Salam Zao 'Nay wa Mitego' anatarajia kuachia wimbo mpya 'Nakula Ujana' kwania ya kuwaonyesha watu kwamba habahatishi kwenye game