Wednesday 27 November 2013

Lil Kim aanika maungo muhimu ya mwanamke hadharani!

Akiwa anaikaribia kabisa miaka 40 staa wa muziki kitambo Lil Kim (39) ambae jina lake halisi ni Kimberly Denis Jones ameanika maungo muhimu mwilini hadharani alipokuwa akipafomu na bendi yake huko jijini London siku ya ijumaa..



Ikiwa ni mixtape yake mpya kwa takribani miaka nane, wajuzi wa mambo wanasema inawezekana ilikuwa ni style mojawapo ya kumrudisha kwenye ramani! Jionee mwenyewe picha zaidi.

 Mmm hii sasa kubwa kuliko
!www.thefameshow.blogspot.com

No comments:

Post a Comment